Pesheni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Pesheni (kutoka Kiingereza passion fruit, kwa Kiswahili piaː karakara) ni tunda la mkarakara (au mpesheni), mmea unaotambaa ambalo ndani lina mbegu nyingi nyeusi na nyama ya nyuzinyuzi. Mara nyingi hutumiwa kutengenezea juisi. Pia pesheni ni chanzo cha carotene, vitamini C na chuma.
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|