Pietermaritzburg
mji wa KwaZulu-Natal, Afrika Kusini / From Wikipedia, the free encyclopedia
Pietermaritzburg ni mji mkuu wa jimbo la KwaZulu-Natal katika Afrika Kusini. Wenyeji huuita mji mara nyingi kwa kifupi "Maritzburg" au "PMB" (tamka:pi-em-bi).
Ukweli wa haraka Nchi, Majimbo ...
Pietermaritzburg | |
Mahali pa mji wa Pietermaritzburg katika Afrika Kusini |
|
Majiranukta: 29°36′36″S 30°23′24″E | |
Nchi | Afrika Kusini |
---|---|
Majimbo | KwaZulu-Natal |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 857,612 |
Tovuti: www.pietermaritzburg.co.za |
Funga
Mwaka 2011 ulikuwa na wakazi 223,000.
Chuo Kikuu cha KwaZulu-Natal kina tawi moja Pietermaritzburg pamoja tawi la pili mjini Durban.