From Wikipedia, the free encyclopedia
Reutlingen ni mji wa Baden-Württemberg nchini Ujerumani Kusini. Iko kando ya mto Neckar. Idadi ya wakazi wake ni takriban 112,176. Mji ulianzishwa 741.
Reutlingen | |||
| |||
Mahali pa mji wa Reutlingen katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 48°29′0″N 9°13′0″E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Baden-Württemberg | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 112,176 | ||
Tovuti: www.reutlingen.de |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Reutlingen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.