Servando na Jermano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Servando na Jermano walikuwa askari Wakristo wa Merida, Hispania waliouawa huko Cadiz[1] [2] , Andalusia, mwaka 304 hivi, wakati wa dhuluma ya Kaisari Dioklesian[3].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini[4].