Silvesta Guzzolini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Silvesta Guzzolini (Osimo 1177 – Fabriano 26 Novemba 1267) alikuwa padri mmonaki wa mkoa wa Marche, Italia aliyerekebisha utawa wa Wabenedikto kwa kuanzisha tawi linaloitwa Wasilvesta.
Papa Klementi IV alimthibitisha kuwa mwenye heri, halafu Papa Klementi VIII alimtangaza mtakatifu mwaka 1598.