Turning Red
From Wikipedia, the free encyclopedia
Turning Red ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 2022. Filamu ilitayarishwa na Pixar Animation Studios, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 19 Machi 2022 na Walt Disney Studios Motion Pictures.
Katika filamu hiyo walioingiza sauti ni:
- Rosalie Chiang kama Meilin "Mei" Lee
- Sandra Oh kama Ming Lee
- Ava Morse kama Miriam Mendelsohn[1]
- Maitreyi Ramakrishnan kama Priya Mangal[1]
- Hyein Park kama Abby Park[1]
- Orion Lee kama Jin Lee
- Wai Ching Ho kama Wu, Mei's grandmother na Ming's mother.
- Tristan Allerick Chen kama Tyler Nguyen-Baker[1]
- James Hong kama Mr. Gao
- Addie Chandler kama Devon
- Sasha Roiz kama Mr. Kieslowski
- Lily Sanfelippo kama Stacy Frick