UjiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Uji ni kinywaji kinachopikwa kwa kuchemsha unga na maji ukawa laini. Sahani ya uji wa mtama. Mtoto akipata uji, mchoro wa William Hemsley (1893). Mara nyingi hupendwa asubuhi na kwa ajili ya watoto na wagonjwa. Unga unaotumika unaweza kuwa wa mahindi, lakini pia mtama, ulezi, uwele n.k.
Uji ni kinywaji kinachopikwa kwa kuchemsha unga na maji ukawa laini. Sahani ya uji wa mtama. Mtoto akipata uji, mchoro wa William Hemsley (1893). Mara nyingi hupendwa asubuhi na kwa ajili ya watoto na wagonjwa. Unga unaotumika unaweza kuwa wa mahindi, lakini pia mtama, ulezi, uwele n.k.