Ukraini
nchi katika Ulaya ya Mashariki / From Wikipedia, the free encyclopedia
Ukraini (kwa Kiukraini: Україна, Ukrayina) ni nchi ya Ulaya ya Mashariki. Imepakana na Urusi, Belarusi, Polandi, Slovakia, Hungaria, Romania na Moldova.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Slava Ukraini! | |||||
Wimbo wa taifa: Ще не вмерла України Shche ne vmerla Ukrajiny "Fahari ya Ukraini haijafifia" | |||||
Mji mkuu | Kiev (Kyiv) 50°27′ N 30°30′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Kiev | ||||
Lugha rasmi | Kiukraini | ||||
Serikali Rais Waziri Mkuu |
Demokrasia Volodymyr Zelensky Denys Shmyhal | ||||
Uhuru ilitangazwa Kura ya maoni ya wananchi ilikubaliwa |
24 Agosti 1991 1 Desemba 1991 25 Desemba 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
603,700 km² (ya 44) 7% | ||||
Idadi ya watu - 2014 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
44,291,413 (ya 32) 48,457,102 73.8/km² (ya 115) | ||||
Fedha | Hryvnia ya Ukraine (UAH ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .ua | ||||
Kodi ya simu | +380
- |
Funga
Kuna pwani ya Bahari Nyeusi na ghuba ya Azov.