Uwanja wa michezo wa Allianz Arena
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa michezo wa Allianz Arena ni uwanja wa michezo kutoka Kaskazini mwa mji wa Munich, Ujerumani. Kwa kuwa uwanja huo huwa na kawaida ya kuchezea Ligi kuu za mabingwa, ukapelekea kuitwa jina la Munich arena.
Katika uwanja wa Allianz kuna timu mbili za mkoa huwa zinacheza katika uwanja huo. Moja kati ya timu hizo ni FC Bayern München na TSV 1860 München tangu msimu wa mwaka 2005/2006 wanachezea katika uwanja wao wa nyumbani.
Uwanja una viti vipatavyo 69,901. Wakati Kombe la Dunia la mwaka 2006 lililochezewa nchini Ujerumani, uwanja wa Allianz pia ulitumiwa.
Inasemekana kuwa, uwanja huo uligharimu takriban Euro milioni 340.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Allianz Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.