Uwe Bein
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwe Bein (alizaliwa 26 Septemba 1960) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Ujerumani. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Ujerumani.
Bein ameichezea timu ya taifa ya Ujerumani tangu mwaka wa 1989. Bein alicheza Ujerumani katika mechi 17, akifunga mabao 3.[1]