Venansi wa ViviersFrom Wikipedia, the free encyclopedia Venansi wa Viviers (pia: Venant, Venance, Venantius; karne ya 5 - 544 hivi) alikuwa askofu wa 4 [1] wa Viviers (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 517 hadi kifo chake [2][3][4][5]. Sanamu yake. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Agosti[6].
Venansi wa Viviers (pia: Venant, Venance, Venantius; karne ya 5 - 544 hivi) alikuwa askofu wa 4 [1] wa Viviers (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 517 hadi kifo chake [2][3][4][5]. Sanamu yake. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Agosti[6].