VfL Wolfsburg
From Wikipedia, the free encyclopedia
VfL Wolfsburg ni klabu inayoshiriki katika ligi ya Ujerumani Bundesliga ilichukuwa ubingwa mwaka 2008/2009, na ndio mara ya kwanza kuchukuwa ubingwa wa ligi hiyo tangu kuundwa kwake.
Wachezaji mashuhuri wanaoichezea klabu hiyo.
- Grafite Brazil
- Makoto Hasebe Japan
- Diego BenaglioUswisi
- Obafemi Martins Nigeria
- Karim ZianiAlgeria
- Andrea Barzagli Itali
- Edin Džeko Bosnia na Herzegovina
- Josué Brazil