Vitaliani wa Capua
From Wikipedia, the free encyclopedia
Vitaliani wa Capua (Karne ya 7 - 699) alikuwa askofu wa 25 wa mji huo, Campania, Italia Kusini [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Septemba[2].