From Wikipedia, the free encyclopedia
Wikipedia ya Kiingereza ni toleo la kamusi elezo la lugha ya Kiingereza la Wikipedia na ndilo toleo lililo kubwa kuliko yote. Ilianzishwa tarehe 15 Januari 2001, na ndiyo toleo la kwanza la Wikipedia kutolewa. Ilivyofika mwezi Agosti ya mwaka wa 2008, Wikipedia ya Kiingereza ilifikisha makala milioni 2.5. Kwa sasa ni zaidi ya milioni 6.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiingereza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.