![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/6f/Giovanni_Battista_Tiepolo_067.jpg/640px-Giovanni_Battista_Tiepolo_067.jpg&w=640&q=50)
Yakobo Israeli
katika Mwanzo, mwana wa Isaka, anayejulikana pia kama Israeli; babu wa Waisraeli / From Wikipedia, the free encyclopedia
Yakobo au Israeli (kwa Kiebrania Yaʿaqov au Ya'ãqōb, kwa Kigiriki ᾿Ιακώβ, kwa Kilatini Iacob, kwa Kiarabu Yaʿqūb) katika Biblia ni mwana mdogo wa Isaka na Rebeka, hivyo ni mjukuu wa Abrahamu na Sara.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/6f/Giovanni_Battista_Tiepolo_067.jpg/640px-Giovanni_Battista_Tiepolo_067.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/94/Jacob-angel.jpg/250px-Jacob-angel.jpg)
Ndiye aliyezaa watoto wa kiume 12 ambao ndio mababu wa makabila 12 ya taifa la Israeli.
Habari zake zinapatikana hasa katika kitabu cha Mwanzo.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Desemba[1].