Yohane BunyanFrom Wikipedia, the free encyclopedia John Bunyan (alibatizwa 30 Novemba 1628 ā 31 Agosti 1688) alikuwa mhubiri na mwandishi[1] wa Kikristo kutoka Uingereza[2]. John Bunyan alivyochorwa na Thomas Sadler, 1684. Anaheshimiwa na Waanglikana kama mtakatifu, hasa tarehe 29 Agosti, 30 Agosti au 31 Agosti.
John Bunyan (alibatizwa 30 Novemba 1628 ā 31 Agosti 1688) alikuwa mhubiri na mwandishi[1] wa Kikristo kutoka Uingereza[2]. John Bunyan alivyochorwa na Thomas Sadler, 1684. Anaheshimiwa na Waanglikana kama mtakatifu, hasa tarehe 29 Agosti, 30 Agosti au 31 Agosti.