Çorum
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Çorum ni mji uliopo kaskazini mwa Anatolia ambao ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Çorum katika Uturuki. Mji wa Çorum upo katika ardhi ya kati ya Bahari Nyeusi ya Uturuki, takriban km 244 kutoka mji wa Ankara na 608 kutoka mjini Istanbul. Mji una futi za maporomoko zipatayo 801 kutoka UB, eneo la tambarare ni 12,820 km² (4950 mi²), na kwa sensa ya mwaka wa 2004, idadi ya wakazi imefikia 178,500.[1]

Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads