1616
mwaka From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Makala hii inahusu mwaka 1616 BK (Baada ya Kristo).
| Kalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
| - Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
| - Kali Yuga | 5126 – 5127 |
| Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 16 |
Karne ya 17
| Karne ya 18
| ►
◄ |
Miaka ya 1580 |
Miaka ya 1590 |
Miaka ya 1600 |
Miaka ya 1610
| Miaka ya 1620
| Miaka ya 1630
| Miaka ya 1640
| ►
◄◄ |
◄ |
1612 |
1613 |
1614 |
1615 |
1616
| 1617
| 1618
| 1619
| 1620
| ►
| ►►
Remove ads
Matukio
Waliozaliwa
- 27 Machi - Beata Maria de Jesus Ruano, mwandishi wa kikristo kutoka Hispania
- Desemba - Bartolomé Esteban Murillo, mchoraji kutoka Hispania
bila tarehe
- Antonio de Bellis, mchoraji kutoka Italia
Waliofariki
- 23 Aprili - Washairi Mwingereza William Shakespeare na Mhispania Miguel de Cervantes walikufa wote tarehe 23 Aprili 1616 ingawa Shakespeare alikufa siku 11 baada ya Cervantes - lakini mmoja alikufa nchini Hispania (kalenda ya Gregori) na mwingini nchini Uingereza (bado kalenda ya Juliasi)
- 2 Julai - Mtakatifu Bernardino Realino, S.J., padri wa Italia
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
