1695

mwaka From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Makala hii inahusu mwaka 1695 BK (Baada ya Kristo).

Matukio

  • Kuanzishwa kwa Ufalme wa Ashanti. Kufuatana na mapokeo ya Waashanti mfalme wa Kumasi (au:Kumasihene) Osei Kofi Tutu I alipokea "kikalio cha dhahabu" kama alama ya kuteuliwa na mbinguni lakini hali halisi kiti kilitengenezwa na kuhani Okomfo Anokye.
  • 27 Januari: Mustafa II anachukua nafasi ya Sultani wa Dola la Uturuki badala ya Ahmad II aliyefariki
  • 17 Julai: Benki ya Uskoti inaanzishwa kwa sheria ya bunge la Uskoti
  • 31 Desemba: Kodi ya madirisha inazishwa Uingereza; wenye nyumba wengi wanafunga madirisha kwa matofari ili kuepukana na kodi hiyo.
Remove ads

Waliozaliwa

Mwaka 2025 katika kalenda nyingine
Kalenda ya Gregori 2025
MMXXV
Kalenda ya Kiyahudi 5785 – 5786
Ab urbe condita (Roma ya Kale) 2778
Kalenda ya Ethiopia 2017 – 2018
Kalenda ya Kiarmenia 1474
ԹՎ ՌՆՀԴ
Kalenda ya Kiislamu 1447 1448
Kalenda ya Kiajemi 1403 1404
Kalenda za Kihindu
- Vikram Samvat 2080 – 2081
- Shaka Samvat 1947 – 1948
- Kali Yuga 5126 5127
Kalenda ya Kichina 4721 4722
甲辰 – 乙巳
Remove ads

Waliofariki

Ukweli wa haraka
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads