17 Julai
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 17 Julai ni siku ya 198 ya mwaka (ya 199 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 167.
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1744 - Elbridge Gerry, Kaimu Rais wa Marekani
- 1888 - Shmuel Yosef Agnon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1966
- 1917 - Phyllis Diller, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1935 - Donald Sutherland, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 1952
- David Hasselhoff
- Nicolette Larson
- 1954 - Angela Merkel, chansela wa Ujerumani (tangu 2005)
- 1955 - Aggrey Deaisile Joshua Mwanri, mwanasiasa wa Tanzania
- 1956 - Michael George Mabuga Msonganzila, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1966 - Guru, mwanamuziki kutoka Marekani
Remove ads
Waliofariki
- 656 - Uthman ibn Affan, khalifa wa tatu wa Uislamu auawa mjini Madina
- 855 - Mtakatifu Papa Leo IV
- 1399 - Mtakatifu Hedwiga wa Polandi, malkia
- 1790 - Adam Smith, mwanafalsafa kutoka Uskoti
- 1950 - Evangeline Booth, mkuu wa 4 wa Jeshi la Wokovu
- 1959 - Billie Holiday, mwanamuziki Mmarekani
- 1967 - John Coltrane, mwanamuziki kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini wa Scilla, Yasinto wa Amasra, Yusta na Rufina, Marselina wa Milano, Aleksi wa Roma, Theodosi wa Auxerre, Enodi wa Pavia, Fredegandi, Kenelmi, Papa Leo IV, Koloman wa Stockerau, Zoeradi na Benedikto, Hedwiga wa Poland, Teresa wa Mt. Augustino na wenzake, Petro Liu Ziyu n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day (Kiingereza)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads