8 Days of Christmas

From Wikipedia, the free encyclopedia

8 Days of Christmas
Remove ads

8 Days of Christmas ni albamu ya Krismasi iliyoimbwa na Destiny's Child, na kutolewa na Columbia Records mnamo Oktoba 2001 ncini Marekani. Ilifika namba 25 kwenye chati ya Billboard 200 na ikauza zaidi ya nakala 23,000 kwenye wiki yake ya kwanza. Ilithibitishwa gold na RIAA baada ya kuuzwa kwa nakala 500,000.

Ukweli wa haraka Studio album ya Destiny's Child, Imetolewa ...
Remove ads

Nyimbo zake

  1. "8 Days of Christmas" (Erroll McCalla Jr., Beyoncé Knowles) 3:31
  2. "Winter Paradise" (B. Knowles, Rob Fusari, Falante Moore, G. Michael) 3:36
  3. "A 'DC' Christmas Medley" (H. Gillespie, F. Coots, S. Nelson, J. Rollins, J. Marks, G. Autry, O. Halderman) 3:59
    1. "Jingle Bells"
    2. "Santa Claus Is Coming to Town"
    3. "Frosty the Snowman"
    4. "Holly Jolly Christmas"
    5. "Deck the Halls"
    6. "Here Comes Santa Claus"
  4. "Silent Night" (by Beyoncé Knowles) 3:41
  5. "Little Drummer Boy" (featuring Solange Knowles) (K. Davis, H. Onorati, H. Simeone) 3:36
  6. "Do You Hear What I Hear?" (by Kelly Rowland) (N. Rigney, G. Shain) 3:47
  7. "White Christmas" (I. Berlin) 1:43
  8. "Platinum Bells" (R. Evans, J. Livingston 1:27
  9. "O Holy Night" (by Michelle Williams) (A. Adam) 4:25
  10. "Spread a Little Love on Christmas Day" (B. Edwards Jr., B. Knowles) 3:42
  11. "This Christmas" (N. McKinnor, D. Hathaway) 3:38
  12. "Opera of the Bells" (M. Dythrovych) 4:35
Reissue bonus tracks
  1. "Home For The Holidays" (B. Knowles, S. Knowles, Bama Boyz) 3:10
  2. "Rudolph the Red-Nosed Reindeer" 2:31
  3. "Proud Family" (Solange featuring Destiny's Child) 2:17
  4. "Emotion" (with strings) 4:22
Toleo lingine
  • "8 Days of Christmas" Music Video
  • "Rudolph the Red-Nosed Reindeer" Music Video
  • "8 Days of Christmas" Live Performance
  • Behind The Scenes Holiday Visit at the Ronald McDonald House
  • Coming Soon Live DVD Trailer
  • All 12 songs in Enhanced PCM Stereo
Remove ads

Historia ya kutolewa kwa albamu hii

Maelezo zaidi Eneo, Tarehe ...

Chati

Maelezo zaidi Chati (2001), Aina ...

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads