A-Q

Rapa na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria From Wikipedia, the free encyclopedia

A-Q
Remove ads

Gilbert Bani (alizaliwa 1 Agosti 1986), akijulikana kwa jina lake la kisanii A-Q, ni rapa na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria.[1][2] [3][4][5]

Thumb
Gilbert Bani mwaka 2022

Maisha ya Awali

A-Q ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia ya watoto sita, ambaye jina lake halisi ni Gilbert Bani, alikulia huko Surulere ambako ameishi kwa muda mwingi wa maisha yake.[6][7]

Elimu

A-Q alihudhuria katika chuo cha Kings College Lagos, na alipata elimu yake ya juu katika Chuo Kikuu cha Lagos. Bani akiwa na umri mdogo, alianza kukusanya nyimbo za hip-hop, kujifunza mashairi na kuigiza.[8]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads