AC Milan

From Wikipedia, the free encyclopedia

AC Milan
Remove ads

AC Milan ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa na Herbet Kilpin, Alfred Edwards, tarehe 16 Desemba 1899.

Ukweli wa haraka Kuanzishwa, Jina rasmi ...

Timu hii itabakia katika historia ya timu kubwa duniani kwa kuwa imeshachukua makombe kadhaa, likiwemo kombe la ligi ya mabingwa Ulaya ya UEFA wakiwa wamelichukua mara nane na kuwa timu ya pili kwa kupata kombe hilo mara nyingi zaidi.

Uwanja wake wa nyumbani unaitwa San Siro.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu AC Milan kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads