Abdallah Chikota
mwanasiasa wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Abdallah Dadi Chikota Nanyamba (amezaliwa 28 Februari 1966) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM, pia ni mwalimu kitaaluma. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nanyamba (Mtwara Vijijini) kwa miaka 2015 – 2020. [1] [2]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads