Nanyamba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nanyamba ni kata ya mji wa Nanyamba katika Mkoa wa Mtwara, Tanzania, yenye postikodi namba 63213.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 11,336 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,320 waishio humo.[2]
Neno Nanyamba limetokana na jina la mnyama anayeitwa "nyamba" kwa lugha ya Kimakonde.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads