Adama

From Wikipedia, the free encyclopedia

Adama
Remove ads

Adama (pia: Nazret au Nazreth; kwa Kiamhara: ናዝሬት nāzrēt; kwa Kioromo: Adaamaa au Hadaamaa; kwa Ge'ez ኣዳማ ādāmā) ni makao makuu ya Jimbo la Oromia nchini Ethiopia.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Kitovu cha mji wa Adama.
Thumb
Kanisa la Adama.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 338,940 (2016).

Remove ads

Tazama pia

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads