Ahunui
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ahunui ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa la Tuamotu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Paraoa. Eneo la kisiwa ni km² 5.7.[1][2]

Wakati wa sensa ya mwaka wa 2012, hakukuwa na watu wakaao kisiwani kwa Ahunui.[3]
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
