Aisha Taymur
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aisha Taymur (kwa Kiarabu: عائشة عصمت تيمور au Aisha al-Taymuriyya عائشة التيمورية; 1840–1902) alikuwa mwanaharakati wa kijamii,mshairi, mwandishi wa riwaya na mwanaharakati wa haki za binadamu wa nchini Misri katika enzi za milki ya Ottoman.[1] Mwanzoni mwa karne ya 19 alijishughulisha na kutetea haki za wanawake.

Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads