Ajmān
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ajman (kwa Kiarabu: عجمان, 'Aǧmān) ni emirati mojawapo ya Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni, upande wa Ghuba ya Uajemi. Ni pia jina la mji mkuu ambao una 90% ya wakazi wote na emirati.


Mtawala wake ni Sheikh Humaid bin Rashid Al Nuaimi (tangu 1981).
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads