Al Gore

makamu wa rais wa Merika kutoka 1993 hadi 2001 From Wikipedia, the free encyclopedia

Al Gore
Remove ads

Al Gore (amezaliwa 31 Machi, 1948 mjini Washington, D.C.) ni mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia. Alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Bill Clinton kuanzia mwaka wa 1993 hadi 2001. Mwaka wa 2007, Gore alipokea Tuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Al Gore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Al Gore
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads