Alex Haley

From Wikipedia, the free encyclopedia

Alex Haley
Remove ads

Alex Palmer Haley (11 Agosti 192110 Februari 1992) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa riwaya yake Roots ("Mizizi") inayosimulia historia ya Kunta Kinte na vizazi vya Waafrika waliofungwa utumwani na kupelekwa Marekani.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...

Mwaka wa 1977, alipokea tuzo maalumu ya Pulitzer upande wa bunilizi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Haley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads