Allah
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Allah ni neno la Kiarabu (الله, Allāh, kutokana na al ilāh, kwa Kiingereza "the God") linalorejea Mungu pekee[1][2], muumba wa mbingu, dunia na vyote vilivyomo.

1. alif
2. hamzat waṣl (همزة وصل)
3. lām
4. lām
5. shadda (شدة)
6. dagger alif (ألف خنجرية)
7. hāʾ
Hasa linatumika katika dini ya Uislamu,[3] lakini pia Wayahudi wanaoongea Kiarabu na Wakristo Waarabu na wa nchi nyingine (kama vile Malaysia[4][5][6]) wanamwita Mungu "Allah" tangu kabla ya Mtume Muhammad[7][8][9][10].
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads