Benki ya Amana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads

Amana Bank ni benki ya biashara katika Tanzania. Imesajiliwa na Benki Kuu ya Tanzania, inayosimamia na kudhibiti benki za kitaifa.[1]
Remove ads
Mahali
Makao makuu na tawi kuu la Amana Bank yako katika Jubilee Tower, karibu na Garden Avenue, katika jiji la Dar es Salaam Tanzania. [2]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads