Jiji

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jiji
Remove ads

Jiji ni mji mkubwa. Kuna tofauti kati ya nchi na nchi wakati wa kueleza ni sifa gani pamoja na ukubwa gani vinavyofanya mji kuwa mji mkubwa au jiji.

Thumb
Jiji la New York ni maarufu kwa maghorofa yake marefu.
Thumb
Rio de Janeiro ni jiji maarufu kwa uzuri wake lakini sehemu ya wakazi wake hukalia mitaa ya vibanda.
Thumb
Jiji la Tampere nchini Ufini.

Mji mkubwa kwa kanuni za takwimu

Kimataifa kulikuwa na makubaliano kwenye mkutano wa kimataifa wa takwimu ya mwaka 1887 ya kuhesabu kila mji wenye wakazi zaidi ya 100,000 kama "mji mkubwa", miji kati ya wakazi 20,000 na 100,000 kama miji ya wastani na ile kati ya wakazi 5,000 na 20,000 kama miji midogo. Kufuatana na hesabu hiyo kulikuwa na miji mikubwa 1,700 duniani mnamo mwaka 2002.

Majiji ya Afrika ya Mashariki

Nchini Tanzania ni Dar es Salaam pamoja na Arusha, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga, inayoitwa "jiji"; nchini Kenya ni Nairobi pamoja na Mombasa na Kisumu. Kati ya miji hiyo ni Nairobi na Dar es Salaam pekee yenye wakazi zaidi ya milioni mbili.

Majiji makubwa ya Afrika

Thumb
Lagos kutoka angani.
Thumb
Kairo.
Thumb
Kinshasa - Brazzaville.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads