Andrew Schally

From Wikipedia, the free encyclopedia

Andrew Schally
Remove ads

Andrew Schally (amezaliwa 30 Novemba 1926) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchini Polandi ambako kutoka kwake alikimbia pamoja na wazazi wake mwaka wa 1939. Hasa alichunguza homoni zinazotokea katika ubongo. Mwaka wa 1977, pamoja na Roger Guillemin na Rosalyn Yalow alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrew Schally kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Andrew Schally
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads