Rosalyn Yalow

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rosalyn Yalow
Remove ads

Rosalyn Sussman Yalow (19 Julai 1921 - 30 Mei 2011) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kubuni njia ya kuchunguza dutu ndogo kama homoni kwa kutumia mionzi.

Thumb
Thumb
Rosalyn Yalow (1977)

Mwaka wa 1977, pamoja na Roger Guillemin na Andrew Schally alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rosalyn Yalow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads