Anfield

From Wikipedia, the free encyclopedia

Anfield
Remove ads

Anfield ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo huko Anfield, Liverpool. Anfield ni uwanja wa timu ya Liverpool F.C.. Uwanja huu una uwezo wa kubeba watu 53,394 na kuufanya kuwa uwanja wa sita kwa ukubwa Uingereza.

Thumb
Anfield

Pamekuwa nyumbani kwa Liverpool F.C. tangu mwaka 1892 ulipoanzishwa.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Anfield kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads