Anna Richard Lupembe
mwanasiasa kutoka Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Anna Richard Lupembe (amezaliwa tarehe 26 Aprili 1966) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nnje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads