Anthropolojia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Anthropolojia ni fani ya elimu inayochunguza pande zote binadamu kuanzia wale wa kale[1][2][3].





Matawi yake mbalimbali yanachunguza maisha ya jamii, utamaduni pamoja na taratibu na tunu, athari ya lugha, mabadiliko ya kimwili n.k.[1][2][3]
Kwa vyovyote, anthropolojia inahitaji ushirikiano wa sayansi mbalimbali, ikiwemo teolojia.
Akiolojia inaweza kutazamwa kama sehemu ya anthropolojia (k.mf. Marekani[4] ) au ya historia, lakini pia kama fani ya pekee (k.mf. Ulaya).
Remove ads
Jina
Jina linatokana na neno la Kiingereza anthropology lililotumika mara ya kwanza kwa Kilatini mwaka 1593 kuhusiana na historia.[5][[6][7] Asili yake ni maneno mawili ya Kigiriki, ἄνθρωπος, ánthrōpos "mtu") na λόγος, lógos, "neno, somo, elimu").[5]
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads