Antoku wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Antoku wa Japani
Remove ads

Antoku (22 Desemba, 1178 25 Aprili, 1185) alikuwa mfalme mkuu wa 81 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tokohito, na alikuwa mwana wa Tenno Takakura. Mwaka wa 1180 alimfuata babake. Ingawa mdogo wake, Go-Toba, alitangazwa kumfuata mwaka wa 1183, Antoku akachukuliwa na kukimbia mji mkuu, yaani kulikuwa na wafalme wawili hadi kifo chake Antoku.

Thumb
Mchoro wa Antoku

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antoku wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads