Takakura

From Wikipedia, the free encyclopedia

Takakura
Remove ads

Takakura (20 Septemba, 1161 30 Januari, 1181) alikuwa mfalme mkuu wa 80 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Norihito, na alikuwa mwana wa nne wa Tenno Go-Shirakawa. Mwaka wa 1168 alimfuata mpwa wake, Tenno Rokujo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1180. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Antoku. Baadaye, mwana wake wa nne Go-Toba alikuwa mfalme 1183-1198.

Thumb
Mchoro wa Takakura
Remove ads

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Takakura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads