Arafa Salim Said
mtetezi wa jamii. From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Arafa Salim Said (alizaliwa tarehe 10 Machi mnamo mwaka 1987[1]) ni mmoja kati ya wanawake mashuhuri nchini Tanzania wenye kuisaidia jamii kwa kutoa elimu na ufafanuzi juu ya ugonjwa wa selimundu (kwa Kiingereza: sickle cell anaemia). [2]. Pia ni mwanzilishi wa Taasisi ya Sickle Cell Diseased Patients Community of Tanzania[3]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arafa Salim Said kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads