Arieh Warshel
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Arieh Warshel (amezaliwa 20 Novemba 1940) ni mwanakemia kutoka nchi ya Israeli. Tangu 1976 amefundisha nchini Marekani. Hasa alichunguza uendelezaji wa miundo ya kikemia. Mwaka wa 2013, pamoja na Michael Levitt na Martin Karplus, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
![]() |
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arieh Warshel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |


Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads