Michael Levitt

From Wikipedia, the free encyclopedia

Michael Levitt
Remove ads

Michael Levitt (amezaliwa 9 Mei 1947) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Tangu 1980 yeye ni raia wa nchi ya Israeli, na tangu 1987 amefundisha nchini Marekani. Hasa alichunguza uendelezaji wa miundo ya kikemia. Mwaka wa 2013, pamoja na Martin Karplus na Arieh Warshel, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Levitt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Michael Levitt
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads