Arsenal FC
Ni muungano wa wachezaji huko uingereza From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Arsenal FC, ni klabu ya kandanda ya kulipwa yenye makao yake Islington, katika mji mkuu wa London, nchini Uingereza.

Klabu hiyo inashiriki Ligi Kuu ya soka ya Uingereza. Klabu imeshinda makombe mara 13 ya ligi (ikijumuisha taji moja ambalo haikupoteza katika mchezo yote), makombe 14 ya FA , vikombe viwili vya Carabao na makombe 17 ya Ngao ya jamii (Community Shield)
Arsenal ilikuwa klabu ya kwanza kutoka kusini mwa Uingereza kujiunga na ligi kuu ya Uingereza mwaka 1893, na walifikia Idara ya kwanza mwaka 1904. Walipigwa mara moja tu mwaka wa 1913, wanaendelea mstari mrefu zaidi katika timu zinazoshikilia nafasi za juu.[1]
Katika miaka ya 1930, Arsenal ilishinda michuano ya Ligi na vikombe viwili vya FA,walishinda Ligi mara moja na Kombe la FA mara mbili. Kati ya 1989 na 2005 ilishinda makombe ya Ligi mara tano na vikombe vitano vya FA.[2][3][4]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads