Asali

From Wikipedia, the free encyclopedia

Asali

Asali ni chakula kitamu katika hali kiowevu kinachotengenezwa na nyuki.

Thumb
Asali ya kiowevu
Thumb
Mizinga ya nyuki nchini Burkina Faso.
Thumb
Vyumba vya asali kwenye sega
Thumb
Aina kadhaa za asali huganda
Thumb
Asali ikichujwa kwa ajili ya kutenga asali halisi na nyuki waliokuwamo.

Nyuki hula mbelewele pamoja na maji matamu ndani ya maua na kuitoa tena katika mzinga wa nyuki kwa kuitunza kwenye sega. Ndani ya sega kiowevu huiva kuwa asali kamili.

Asali inavunwa na watu na kuwa chakula muhimu. Asali hujenga afya. Katika nchi za kaskazini ilikuwa njia ya pekee ya kutia utamu kwenye chakula kabla ya kupatikana kwa sukari kwa njia ya biashara ya kimataifa.

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.