Askofu wa jimbo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Askofu wa jimbo ni askofu ambayo anachunga kwa mamlaka kamili jimbo fulani. Kwa msingi huo anatofautiana na askofu mwandamizi, askofu msaidizi n.k.
Katika Kanisa Katoliki[1]ni kazi yake kufundisha, kutakasa na kuongoza waamini wote wa jimbo lake [2]akisaidiwa na mapadri na mashemasi.[3]
Footnotes
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads