Assab

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Assab ni mji wenye bandari uliopo katika mkoa wa Bahari Nyekundu Kusini nchini Eritrea.

Mwaka 2010 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 39,656.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads