Aubin-Thierry Goporo
Mchezaji na kocha wa mpira wa kikapu Afrika ya kati From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aubin-Thierry Goporo (alizaliwa tarehe 15 mei 1968) ni kocha wa mpira wa kikapu Afrika ya kati pia alikuwa mchezaji apo awali ambaye ni mkurugenzi wa maendeleo timu ya wanafunzi ,Tennessee Volunteers basketball team.[1] Alicheza mpira wa kikapu chuoni Florida Tech Panthers na kihitimu mwaka 1996.Goporo alikuwa kaitka timu ya taifa ya kikapu Jamhuri ya Afrika ya kati iliyo shiriki Olimpiki mwaka 1988, alikuwa kocha wa mwaka 2015 kwanye mashindano ya FIBA Afrika.[2]
Ni kaka wa mchezaji wa mpira wa kikapu na kocha Frédéricque Rufin Goporo.[3]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads