Aurora, Colorado

From Wikipedia, the free encyclopedia

Aurora, Colorado
Remove ads

Aurora ni mji wa Marekani katika jimbo la Colorado. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 320,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1648 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 370 km².

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aurora, Colorado kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Mji wa Aurora, Colorado
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Thumb
Mahali pa Aurora katika Arapahoe County na Colorado
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads